KETHI; waiter uko na kuku? niletee basi(receives a call from nduku)
NDUKU ON PHONE; "uko wapi kethi?"
KETHI; niko kwa hoteli mama.
NDUKU ON PHONE; "nakuja huko saa hii saa hii!"
#Nduku comes in with NGILU as Kethi is served her food.
NDUKU; waiter nataka kuku kama iyo...
WAITER; iyo ndio ilikuwa ya mwisho, bado utataka tu kama iyo?? utangoja uchinjiwe kuku????
NGILU; say yes!! say yes!!
NDUKU; YES! itabidi umetafuta vile ntapata kama iyo, please tusikosane!
WAITER; But...(kethi cuts him short)
KETHI; waiter, wacha nimpatie hii yangu basi akule, hata sikuwa na njaa saana!
NDUKU; nkt hata sasa sitaki, hata mi pia sikuwa na njaa saaaana!!
No comments:
Post a Comment