Jua kutembea.. Vizuri si kutembea kama LIKOBEE ule wa
ile kipindi iliwa inaitwa VITUKO ya KBC ama Johhny bravo!! u are a lady pliz
... Hapana tembea kama mtu wa mjengo alar!
Jua kuongea..vitu kama khai..woishe..powle na az
in..huongezea wewe kua mtam kuongea nawe..sio kuongea na CAPITAL LETTERS ka
mluhya ameona ugali!
Have ua own swag ikifka ni kucladi..jua ua type of
body na zile nguo znaambatana/znafaa ..sio wengine naonanga..mtu ako na MATAKO
JUU JUU ama haga inakaa ilikanyagwa na vitz na bado anainsist kuvaa trouser!
Mwingine akona ma alama mob kwa miguu na bado anakazana kuvaa miniskat! Nktest!
Jua wen to blush n wen to be serious..si
kublushingi hata nkikukoll ama ukinifkiria..nkt! .. Kwani wewe ni mtoi wa
praimary?!?
Jua wen am sapozd to koll u..sio kila saa unashinda
ukiexpekt nkupigie na kukutext malovey dovey..kwani tutakula hizo text ama
uliskia mi ni mtoto wa Bob Con me More ati slipishwagi kredo??
Jua zile viatu znakufaa..sio kuvaa high heel alafu
unaanza kutembea kama soldier wa KDF ananyemelea alshabab!! Ama unaanza
kutembea nikama mtu amekazwa na shit!
Jua aina ya miguu zako pliz..ka znakaa za stand ya
stove ama post za stima kukonda..kip off mini skirts pliz!!
Jua kukua na hygine... u are a woman rem??? sio
kunuka makwapa kama mtu wa mjengo... sasa wewe ukinuka makwapa unataka
Matendechere anuke nini??? nkt
Unataka niwachane na mabeshte wangu we ndo utakua
unanibuyia pombe?? kubaff!!
Hii kwanza..kulia lia kama toi ulifunzwa na
nani??ama macho zako znakuaga na vitunguu ndani 24 saba??aiii..sa ukilia lia
ivoo.. mtoi wetu anafaa kujiua ama??? chidwo!!!
Punguza moshènè na nyenyenye mob.. Kwani wewe
hulipwa kuongea???
Si ati chali akikuja kwako kukukatia na vybz za
kitoto unaingia box kifalafala... 2mek it worse, kuna madem wenye hukatiwa na
kuchapwa maji within 24hrs of meeting... Hiyo si hata heri ukakue member wa
koinange street na ukue ukiget salary...
Ku upload pics za chali yako ati aaaww he means the
world to me... He's my boyfie na labda chali mwenyewe anakaa nikama aliponea
fire tragedy... Yaani, yeye na scarecrow hakuna tofauti.
No comments:
Post a Comment